Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Mikel Kafando ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Na WMA – MWANZA Wakala wa Vipimo (WMA) umesisitiza kuwa ni rafiki wa muuzaji na mnunuzi na kwamba sheria ya vipimo haikuundwa kuwakomoa wafanyabiashara…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa fidia ya wananchi 23 waliopisha ujenzi…