Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Mikel Kafando ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Na Mwandishi wetu, Msimu wa Korosho 2026/2027 umezinduliwa rasmi na Emmanuel Shilatu kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya Masasi ambapo amewataka viongozi wa Amcos…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uislamu unahimiza upendo, amani, umoja na mshikamano, misingi ambayo…