Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;}
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (mwenye
kizibao chekundu) akitoa maelekezo kwa
mmiliki wa kiwanda cha nyama cha Eliya Foods Overseas LTD
kilichopo Longido ndugu Shabbir
Virjee(mwenye shati jeupe), kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (Mwenye nguo nyeusi) akishuka
kwenye gari maalum ya kubebea maziwa baada ya kulikagua gari hilo la
kiwanda cha maziwa cha Kilimanjaro Fresh alipotembelea kiwanda hicho
kuangalia utendaji wake hivi karibuni.

Na
John Mapepele
John Mapepele
Serikali imewahakikishia
wawekezaji wa viwanda vya mazao ya mifugo nchini kuwa hakuna atakayechezea
masoko yao kwa kuingiiza bidhaa hizo sokoni kwa njia isiyo halali na
badala yake serikali imetaka jitihada zinazofanywa na wawekezaji lazima
zilenge kuwainua wafugaji kote nchini na kutoa majawabu ya changamoto
zinazowakabili wafugaji ikiwa ni pamoja na ajira, masoko na nyama bora
ili uwekezaji huo uwe wenye tija na endelevu.

Hayo amesemwa na Waziri
wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina alipofanya ziara
ya kikazi mkoani Arusha leo kukagua shughuli mbalimbali za sekta ya
mifugo ambapo amesema Serikali ya awamu ya tano imejipanga kikamilifu
kuhakikisha kuwa hakuna mtu atakayekwepa kufuata taratibu
za biashara ya mazao ya mifugo kutoka ndani na nje ya nchi ili
kuwa na ushindani wa halali.

Amesema kutokana
na udhibiti uliofanywa na serikali wa kuzuia ukwepaji wa kodi, uingizaji
wa mazao ya mifugo na kwa udanganyifu na utoroshaji mkubwa mifugo kwenda
nje ya nchi kwa njia za panya umesaidia kuwavutia wawekezaji wengi
kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vikubwa vya nyama na maziwa
kwa wingi kuliko kipindi chochote kuanzia nchi yetu ilivyopata uhuru
hadi sasa.

“Mheshimiwa Waziri,
tumekuwa tukitorosha mifugo kwenda kuuza nchi za jirani kwa kuwa
hapa kwetu palikuwa hakuna soko la uhakika la kuuzia lakini sasa
tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutusaidia kupata kiwanda
hiki hapa Longido ambacho kitakuwa mkombozi wa soko la uhakika la mifugo
yetu” alisisitiza Mzee maarufu wa kimasai, Olesiyanda Sidala
wakati Waziri Mpina alipomaliza kukagua kiwanda cha kusindika
nyama cha Eliya Foods Overseas LTD kilichopo eneo la Longido mkoani
Arusha.

Mkurugezi Mtendaji wa
Kiwanda hicho Shabbir Virjee alisema Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo
wa kuchinja ng’ombe 500 hadi 1000 na mbuzi na kondoo 2000 hadi
5000 kwa siku na kinatarajia kutoa zaidi ya ajira 300,ambapo pia aliiomba
serikali eneo la ekari 100 kwa ajili ya kupumzishia mifugo kabla
ya kuchinjwa na kuahidi kuwa ifikapo Oktoba mwaka huu kiwanda kitakuwa
kimekamilika na kuanza kufanya kazi.

Aidha Waziri Mpina aliongeza
kwamba hivi sasa wananchi na wawekezaji wengi wanajitokeza kuwekeza
kwenye sekta ya mifugo baada ya muda mrefu kukimbia uwekezaji kwa sababu
walikuwa wanafika mahala wanachinja na kukosa masoko ya kuuza
nyama hizo.

Amesisitiza kuwa
Serikali itaendelea kuwalinda wawekezaji wote kwa sheria na kwamba
Wizara itaendelea na operesheni muda wote kila mahali kuanzia
bandarini,mipakani, viwandani, kwenye maduka na katika vya
ndege kukagua na kuona kama kuna mtu ameingiza bidhaa kwa
kufuata sheria na ubora wake.

Aliongeza kuwa
Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na mifugo mingi hivyo
inaweza kutoa malighafi ya kutosha kwa viwanda vya mifugo vinavyoanzishwa
na kwamba asilimia 1.4 ya mifugo yote duniani ipo Tanzania na asilimia
11 kwa Afrika, ambapo ina jumla ya Ngombe milioni 30.5, Mbuzi milioni
18.8 na Kondoo milioni 5.3.

Mkuu wa Wilaya ya Longido,
Frank Mwaisumbe amepongeza jitihada zinazofanywa na Wizara ya
mifugo ambapo amesema Wizara imeonyesha kuwa siyo ya kupokea
misaada kama ilivyokuwa inatazamwa awali bali inayoweza hata kusaidia
wizara nyingine zisizozalisha na kuifanya nchi yetu isonge mbele.

“Mheshimiwa Waziri
naomba kusema wazi kuwa umekuwa bega kwa bega kudhibiti utoroshaji na
ukwepaji wa kodi na umeonyesha uwezo mkubwa wa kuitendea haki sera ya
viwanda kwa kuweka mazingira mazuri ya kuvutia viwanda vingi kujengwa
naamini wizara nyingine zige mfano kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi
“ aliongeza Mwaisumbi.

Mpina aliongeza kuwa
Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuboresha kosaafu za mifugo
ili kupata mifugo bora itakayoweza kushindana na mifugo mingine katika
masoko ya kimataifa ambapo alisema tayari madume bora ya ngombe
yanayozalisha mbegu bora yameletwa na serikali kwenye Kituo cha
Uhimilishaji cha Taifa Usariver jijini Arusha ambayo yanauwezo
wa kutosha kwa nchi nzima.

Katika kuhamasisha wafugaji
wanawapeleka watoto wao kwenye mafunzo maalum ya ufugaji, Waziri Mpina
alitoa nafasi kwa mtoto mmoja wa mfugaji anayeongoza kwa mifugo mingi
kuweza kusomeshwa bure na serikali kwenye Wakala wa Mafunzo ya
Mifugo Tengeru na Kituo cha Uhimilishaji cha Taifa Usariver jijini

Katika ziara hiyo Waziri
Mpina alitembelea bwawa lililobomoka la Kimokowa na kuelekeza
kuwa Wizara na Halmashauri ya Longido kukarabati bwawa hilo mara
moja pia alimwelekeza katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo kukarabati majosho
8 kati ya 16 ya Wilaya ya Londigo kabla ya Julai mwaka huu, ambapo pia
alisema tayari Wizara imeshatoa kiasi cha Shilingi milioni 150 kwa ajili
ya kukarabati soko la kimataifa la mnada wa mpaka wa Longido.

Kaimu Msajiri wa Bodi
ya Nyama nchini Imani Sichalwe alimhakikishia Waziri Mpina kuwa Bodi
ya nyama itaendelea kushirikiana na wawekezaji katika kuwatafutia masoko
ya bidhaa zao ndani na nje ya nchi.

Katika hatua nyingine
Waziri Mpina alitembelea kiwanda cha maziwa cha Kilimanjaro Fresh
chenye uwezo wa kuzalisha lita 5000 hadi 50000 kwa siku ambapo
kwa sasa kimeanza kuzalisha lita 5000 baada ya kuanza rasmi uzalishaji
Februari 2, mwaka huu,ambapo aliwahakikishi kuwapa ushirikiano
na aliwataka wamiliki kuangalia bei wanaonunua maziwa kwa wafugaji
zisiwe kandamizi.

Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda
hicho Irfhan Virjee amesema kuwa kiwanda hicho kimekuwa kikiuza jumla
ya lita 4000 kwa siku na kwamba kiwanda kinatarajia kuongeza uzalishaji
wa mazao mengine ya maziwa ikiwa ni pamoja na jibini na siagi ndani
ya miezi miwili ijayo, ambapo kwa sasa kinaendelea kutoa maziwa yenye
radha tofauti za matunda.

Kwa upande wake Kaimu
Katibu Mkuu Mifugo, Daktari Asimwe Lovince alimshukuru Waziri
Mpina na kumhakikishia kuwa amepokea maelekezo yote na kwamba atayafanyia
kazi kikamilifu katika kipindi kifupi ili sekta ya mifugo iweze kukua
kwa kasi na kuleta mapinduzi yanayohitajika kwa sasa.

Aidha alisema kufanya
kazi kwa viwanda vya nyama na maziwa nchini kutasaidia kuliingizia taifa
fedha za kigeni ambapo kwa upande wa viwanda vya nyama vitasaidia
kutoa mazao mengi zaidi kwenye damu(vyakula vya mifugo),pembe na ngozi.

Katika kipindi cha
miaka miwili sasa wizara ya Mifugo na Uvuvi imekuwa na mikakati
mbalimbali ya kuleta mageuzi ya sekta kuanzia mapato, kutafuta
ufumbuzi wa migogoro baina ya wafugaji wa watumiaji wengine wa ardhi,
kudhibiti magonjwa, kuboresha kosaafu za mifugo kwa njia mbalimbali.