Uncategorized
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TADB YAWEZESHA WAFUGAJI KUPATA NG’OMBE WA KISASA WA MAZIWA
Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki ya Kilimo (TADB) Jeremiah Mhada wa kwanza kulia akimkabidhi hundi ya Sh Milioni 396 Waziri wa Mifugo…
MKUTANO WA KIMATAIFA WA ELIMU BORA KUFANYIKA KUANZIA APRILI 20, 2021
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto) akizungumza na wanahabari juu ya Mkutano wa Kimataifa wa elimu bora unatarajia kufanyika…
SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL LACHANGIA ZAIDI YA BILIONI 1 KWENYE TASNIA YA MAZIWA NCHINI
Mkurugenzi wa Mradi wa TMPP Ndugu Mark Tsoxo kutoka Shirika la lisilo la Kiserikali la Heifer International kulia akimkabidhi Waziri wa Mifugo na Uvuvi…
RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYONI MKOANI SINGIDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida wakati akitokea mkoani Tabora…
WAZIRI MWAMBE AKUTANA NA WAZALISHAJI WA SUKARI NCHINI JIJINI DODOMA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe,akizungumza na Mtendaji Mkuu na Meneja wa kiwanda cha Dangote nchini Tanzania Bw.Abdullahi Baba aliyemtembelea…
THUBUTU AFRICA YAANZA KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MWAMAGUNGULI ‘A’ SHINYANGA
Mkurugenzi wa Shirika la Thubutu Africa Initiatives, Jonathan Manyama akisaini Mkataba wa kazi ya ujenzi wa choo cha shule ya msingi Mwamagunguli ‘A’ iliyopo…
MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA NAIBU WAZIRI UMMY KUTEMBELEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI ZA WAJASIRIAMALI WENYE ULEMAVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (kulia) akizungumza na Bw. Emmanuel Mussa Kashinje (kushoto) Mjasiriamali…
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA NA UPANUZI WA HUDUMA KITUO CHA AFYA CHA MASUMBWE WILAYA YA MBOGWE MKOA WA GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ili kufungua majengo mapya na upanuzi wa huduma katika Kituo cha Afya…