Uncategorized
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAAFISA 84 NA ASKARI 48 WA TAWA WATUNUKIWA VYEO VYA UHIFADHI
Na Beatus Maganja, Morogoro Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Mlage Yussuf Kabange, Januari 07, 2026 aliwatunuku na…
SERIKALI YASISITIZA USHIRIKIANO WA VETA NA MAKAMPUNI KWA AJIRA ENDELEVU
Na.Mwandishi Wetu-MOSHI Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameielekeza VETA Moshi kuimarisha ushirikiano na makampuni na viwanda ili kuongeza…
VIONGOZI WA MASHINA TEMEKE, KIGAMBONI WANA IMANI NA DKT. ASHA ROSE MIGIRO
Mam ia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Wilaya za Temeke na Kigamboni jijini Dar es Salaam wamesema wana imani kubwa na…
SANGU : WAMILIKI VIWANDA TOENI USHIRIKIANO OSHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu (wa tatu kutoka kushoto) akisikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa…
NILIVYOFANIKIWA KUREJESHA ARDHI YA FAMILIA YETU BAADA YA MIAKA YA MAPAMBANO
Miaka mingi, familia yetu ilikuwa ikiishi kwa huzuni na hofu kutokana na migogoro ya ardhi. Ardhi ambayo ilikuwa mali ya familia ilishambuliwa na majirani…
MASHABIKI WA SOKA NA POLISI WAFANYA JAMBO KUELEKEA MCHEZO WA TAIFA STARS
Na John Walter Umoja wa mashabiki wa vilabu vya soka Tanzania washirikiana na Jeshi la polisi katika ufanyaji wa usafi katika Hospitali ya Polisi…
BAKWATA YAPONGEZWA KUIMARISHA AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO NCHINI
………….. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepongezwa kwa kuimarisha amani, umoja na mshikamano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
TAASISI YATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI MASKINI MWANZA
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA THE Desk & Chair Foundation katika kupunguza changamoto ya ukosefu wa vifaa vya shule miongoni mwa watoto wanaotoka katika familia…
OFISI YA WAZIRI MKUU YAKABIDHI VIFAA VYA MISAADA YA KIBINADAMU KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA
NA. MWANDISHI WETU KILOSA Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa leo Tarehe 2, Januari…