SUMAYE: VITA VINAVYOPIGWA SI DHIDI YA DKT. SAMIA BALI CCM
Akizungumza leo Jumamosi Oktoba 04, 2025 katika viwanja vya CCM Sabasaba wilayani Babati, mkoani Manyara, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Akizungumza leo Jumamosi Oktoba 04, 2025 katika viwanja vya CCM Sabasaba wilayani Babati, mkoani Manyara, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amepokea wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani walioamua kujiunga na CCM kutokana na…
NA JOHN BUKUKU- BABATI MANYARA Babati. Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia…
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia Wananchi wa…
* Awataka wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 NA JOHN BUKUKU-BABATI MANYARA Babati. Mbunge wa zamani wa Simanjiro, Christopher Olesendeka, amewataka wananchi…
NA JOHN BUKUKU- NANATI MANYARA Mbunge mstaafu wa Jimbo la Babati Mjini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pauline Gekul, amesema kuwa wananchi…
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja…
Tanzania na Zimbabwe zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika nyanja za siasa, uchumi, ulinzi na usalama, biashara, kilimo, elimu, utalii na maendeleo ya kijamii.…
NA JOHN BUKUKU -BABATI MANYARA Muendelezo wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt.…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesisitiza umuhimu wa Mkutano wa nchi za Afrika na…