Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Wanyama atiania ya kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA
********************************* Na Magreth Mbinga Leonard Toja Manyama ametia nia na amechukua fomu ya mgombe wa Urais katika Chama chake cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA…
MWENYEKITI WA CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USALAMA NA MAADILI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PAMOJA NA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Usalama na Maadili ya…
ALIYEKUWA MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI KUPITIA CHADEMA JOSHUA NASARI AJIUNGA CCM
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)Joshua Nasari ametangaza kukihama Chama hicho na …
ASILIMIA 70 YA VIONGOZI WANAOENDESHA VYAMA VYA UPINZANI NCHINI NI MATUNDA YA CCM-KHERI JAMES
Aliyekuwa mbunge wa jimbo Arumeru Mashariki Joshua Nassary akizungumza katika mkutamo maalum wa umoja wa vijana Mkoa wa Arusha wakati akirudisha kadi ya chadema…
WATIANIA UBUNGE WA CCM MKOA WA IRINGA WAONYWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA CHAM
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Abel Nyamahanga akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ccm mkoa wa Iringa kuhusu utaratibu wa watia nia wa…
MATUKIO KATIKA PICHA DK. BASHIRU ALLY AKIPOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI JIJINI DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiwasha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi…
MWENYEKITI UVCCM TAIFA KHERI JAMES AONYA VITENDO VYA RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Kheri James…
BARAZA LA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA TANGA LAMPONGEZA RAIS MAGUFULI
KATIBU wa CCM Mkoa wa Tanga Shaibu Akwilombe akizungumza wakati wa mkutano wa Baraza kuu la Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Tanga kushoto ni…
DKT SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa…