Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BASHUNGWA APIGA MAGOTI KUOMBEA KURA MAGUFULI, UZINDUZI WA KAMPENI MKOA KAGERA
Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa amepiga magoti kumuombea kura za kishindo kwa asilimia 100 Mgombea…
WANAMONDULI HAKIKISHENI CCM INASHINDA-MAJALIWA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni za CCM wilayani Monduli kwenye uwanja wa Barafu,…
DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA KURA WANANCHI WA NZEGA, MAELFU WAMSIKILIZA
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega…
DK. MAGUFULI SITAKI KWENDA ULAYA NATAKA WA ULAYA WAJE TANZANIA
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa…
Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano Simiyu
Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano Simiyu
MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MVOMERO
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri…
MPWIMBWI ALILIA BARABARA YA AFRIKA MASHARIKI ,ADAI NI KILIO CHA KITAMBO
***************************************** NA MWAMVUA MWINYI, PWANI MGOMBEA Udiwani Kata ya Miono, Chalinze ,Bagamoyo, Juma Mpwimbwi, amemuomba Katibu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Abdurhman Kinana amfikishie…
SITAWAJIBU WANAONITUKANA KWENYE MAJUKWAA –UMMY MWALIMU
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga Ummy Mwalimu (CCM)ambaye pia ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto akizungumza wakati akifungua…
LIVE :MGOMBEA URAIS CCM AKIOMBA KURA – NZEGA
https://youtu.be/c4O-kix–tA