Thursday, October 8, 2026

Siasa

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

4338 Stories
Martha Umbura Amuombea Magufuli Kura kwa Wanawake Manyara

Martha Umbura Amuombea Magufuli Kura kwa Wanawake Manyara

Na John Walter-Manyara MGOMBEA Ubunge Viti Maalumu Mkoa wa Manyara  kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Martha Umbura  amewaomba wakina mama mkoani humo kupiga kura za kishindo kwa Rais Magufuli na Wagombea wote wa Chama hicho. Umbura amesema kuwa  kwa mengi yaliyofanywa Mkoa wa Manyara na  Rais John  Magufuli, zawadi pekee ya kumpa ni kumpigia kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu.   Amewataka wananchi wote Mkoa wa Manyara  kuhakikisha wanapiga kura zote kwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi. Umbura amesema haoni sababu ya Dk.…

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM MAKUNDUCHI

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM MAKUNDUCHI

Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla…

DKT. BASHIRU AWAPA MIAKA 50 WAPINZANI KUWA IMARA

DKT. BASHIRU AWAPA MIAKA 50 WAPINZANI KUWA IMARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewapa miaka hamsini wapinzani kujijenga kuwa taasisi imara zinazoweza kushindana na CCM kwa…

DKT. MAGUFULI APIGA SIMU KUWAOMBA KURA WANA-USHETU

DKT. MAGUFULI APIGA SIMU KUWAOMBA KURA WANA-USHETU

************************************** MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amepiga simu na kuwaomba wakazi wa Ushetu wampigie kura za kutosha…