Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK. HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MSIKITI WA AMAAN
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh…
KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA CHAFANYIKA LEO JIJINI DODOMA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu…
KHERI JAMES TUTAMPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA RAIS WETU MAMA SAMIA ”TUNA IMANI KUBWA NAYE”
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kheri James,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 28,2021 jijini Dodoma…
NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA MUHAMBWE, KIGOMA
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Willson Mahera Na Mwandishi Maalum, Dodoma TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya…
KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, KUFUATIA KIFO CHA DK. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi tayari…
CCM wapongeza FORVAC, MCDI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Ruvuma Addo Mwisho anayezungumza akiwa na Kamati ya Siasa ya chama hicho mkoani Ruvuma katika Hifadhi…
KHEIR JAMES – AMNADI MGOMBEA WA CCM PANDANI PEMBA.
MGOMBEA Uwakilishi Jimbo la Pandani kwa Tiketi ya CCM Mohamed Juma Ali(kulia) akieleza vipaumbele vyake na kuomba kura kwa wananchi, akiwa na Mwenyekiti wa…