KADA WA CCM GRACE KIMARO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UDIWANI KATA YA WAZO
Mwana CCM na mfanyabiashara Grace Kimaro Maarufu “Mama Angel” amechukua fomu kuwania udiwani katika kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam …
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mwana CCM na mfanyabiashara Grace Kimaro Maarufu “Mama Angel” amechukua fomu kuwania udiwani katika kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam …
Na Silivia Amandius Missenyi, Kagera. Mbunge wa Jimbo la Missenyi, Mhe. Florent Kyombo, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena ubunge wa jimbo hilo kupitia…
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika na Mkuu wa Utawala Ofisi ndogo ya CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar Es Salaam, Ndugu Salehe…
Naibu Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi, amechukuwa Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mikumi kwa awamu nyingine.…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Juni 30,2025 Jumla ya wagombea kumi wamechukua fomu za kugombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, akiwemo mbunge aliyemaliza muda wake,…
Joto la Siasa katika Jimbo la Uchaguzi la Ludewa limezidi kupanda kufuatia kuendelea kujitokeza kwa watia nia mbalimbali wanaoashiria kuwepo kwa mchuano mkali jimboni…
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mgombea wa ubunge Jimbo la Kibaha Mjini Godwin Ndosi amechukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kibaha Mjini lililopo…
Na Silivia Amandius Missenyi, Kagera. Mvuto wa kisiasa wa kijana mchumi na mkulima Evance Kamenge umeendelea kuonekana wazi baada ya kundi la wanachama 67…
Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani juni 29,2025 Aliyekuwa mbunge viti maalum mkoani Pwani Subira Mgalu amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Bagamoyo. Katibu wa…