Na Mwamvua Mwinyi, Pwani

juni 29,2025

Aliyekuwa mbunge viti maalum mkoani Pwani Subira Mgalu amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Bagamoyo. 

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bagamoyo, Shaban Karage amemkabidhi fomu hiyo leo Juni 29,2025.