Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
UVCCM YAZINDUA MFUMO WA KIJANI ILANI CHATBOT
Na Sophia Kingimali Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa umezindua mfumo wa kisasa unaoitwa Kijani Ilani Chatbot, ambao utarahisisha kwa vijana…
MAFUWE ACHUKUA FOMU YA INEC KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HAI
Moshi.Mgombea ubunge mteule kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kwa kipindi cha pili…
CCM PWANI -HATUTISHWI NA MIHEMKO YA WANACHAMA WANAOKIHAMA CHAMA
Mwamvua Mwinyi – Pwani Agosti 26, 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimesema hakitishwi na mihemko ya baadhi ya wanachama wanaokihama chama hicho…
JAMES MBOWE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA HAI
Mgombea ubunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro Kupitia Chama Cha Ukombozi wa umma (CHAUMA) james Mbowe amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na…
RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye…
MGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI AAHIDI USHIRIKIANO KWA MAENDELEO ZAIDI
Na Silivia Amandius. Bukoba. Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Jimbo la Bukoba Mjini, Mhandisi Johnson Johansen Mutasingwa, ameweka wazi dhamira yake…
MGOMBEA URAIS MPINA NA MGOMBEA MWENZA WAKE WAKAMILISHA TARATIBU ZA KISHERIA
Dar es Salaam, 25 Agosti 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ndg. Luhaga Joelson Mpina, jana aliwasili…
CPA MGALU ANENA NIA NA DHAMIRA YA KILICHOMSUKUMA KUGOMBEA JIMBO LA BAGAMOYO
Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo Agosti 26, 2025 Akisukumwa na dhamira ya dhati ya kulitumikia Jimbo la Bagamoyo kwa kutumia taaluma na uzoefu wake serikalini, aliyekuwa Mbunge…
DKT. ASHATU KIJAJI: NIPO TAYARI KULIPA DENI KWA WANANCHI WA KONDOA
Na Mwandishi Wetu- Kondoa, Dodoma Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kondoa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Ashatu Kijaji, amesema anatambua kuwa bado…