Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. MWIGULU AAGIZA UJENZI WA BARABARA MUFINDI KUSINI, ASISITIZA AHADI ZA RAIS ZINATEKELEZWA
▪︎ Aagiza TANROADS kumpata mkandarasi ndani ya wiki mbili ▪︎ Aelekeza fedha za awali zitolewe mara moja kuanza ujenzi Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba,…
MH. MAKONDA: ACHENI KUTANGAZA WATU, TANGAZENI NCHI
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda amewataka wadau wa sekta ya habari kubadili ajenda ya…
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Kamati…
BALOZI YAKUBU AWASILISHA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KWA SERIKALI YA UFARANSA
PARIS, UFARANSA Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amewasilisha rasmi nakala ya Hati zake za Utambulisho…
ZIARA YA KIHISTORIA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BELARUS YAIMARISHA USHIRIKIANO NA TANZANIA
Na Na John Bukuku, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema ZIARA YA KIHISTORIA…
MWENYEKITI CCM NA RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU, DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha siku…
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BELARUS AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Belarus, Mheshimiwa Maxim Ryzhenkov, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 28…
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK, WAAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Denmark nchini, Mhe.…
CCM NA CPC KATIKA MAANDALIZI YA KUPOKEA UGENI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndugu Rabia Abdalla Hamid akiwa kwenye kikao kazi na…