Michezo
January 17, 2024
Timu ya Taifa ya Mali imefanikiwa kuichapa timu ya taifa ya Afrika Kusini mabao 2-0 katika mchezo wa kuwania kombe la mataifa ya Afrika…
By fullshangwe
Michezo
January 16, 2024
Timu ya Taifa ya Senegal wameanza kwa kishindo baada ya kuichapa timu ya taifa ya Gambia mabao 3 – 0 katika mchezo wao wa…
By fullshangwe
Michezo
January 15, 2024
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri BETIKA, imewasindikiza mabingwa wawili wa kwanza wanaoelekea nchini Ivory Coast, kushuhudia Michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON…
By fullshangwe
Michezo
January 15, 2024
Mabingwa wa Afrika, Timu ya Taifa ya Misri, imeambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Msumbiji katika mchezo wa kundi…
By fullshangwe
Michezo
January 14, 2024
Timu ya Taifa ya Ivory Coast imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Mataifa ya…
By fullshangwe
Michezo
January 13, 2024
KLABU ya Mlandege Fc imefanikiwa kuutetea ubingwa wake mara baada ya kuichapa Simba Sc bao 1-0 kwenye fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup ambayo…
By Alex Sonna
Michezo
January 12, 2024
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Nje Sports Football) imeendeleza shangwe kwa mashabiki wake…
By fullshangwe
Michezo
January 11, 2024
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeungana na wadau wa michezo nchini, kuchangia timu za taifa za Tanzania zinazoshiriki katika…
By fullshangwe
Michezo
January 10, 2024
Timu ya Mpira wa Miguu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Nje Sports Football) imeigalagaza timu ya mpira wa…
By fullshangwe