WAZIRI MKUU AKAGUA VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA CHAN AGOSTI 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025…
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Khamis Mwinjuma, akikata utepe kuzindua uwanja mpya wa Airtel Stadium utakaotumiwa na Klabu ya Singida Black Stars…
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Tanzania – Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini alfajiri ya Machi 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege…
Mbio za Bunge Marathon zinatajia kufanyika tarehe 12 Aprili 2025 jijini Dodom ambapo fedha zitakazokusanywa katika mbio hizo zitatumika kujenga Shule ya Sekondari ya…
Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amefunga rasmi mafunzo ya Mchezo wa Soka la…
Na. Mussa Richard, Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji FC, itashuka dimbani hapo kesho kumenyana na klabu ya Soka ya Simba SC, katika mchezo…
Katibu wa mashindano ya Kombe la Vunja Bei Pastory Kwambiana akizungumza .. NA DENIS MLOWE, IRINGA, TIMU 50 zinazotarajiwa kushiriki mashindano ya kugombea Kombe…
Dar es Salaam – Rais wa Klabu ya Simba SC ameweka wazi dhamira ya klabu hiyo kuimarisha nafasi yake kimataifa kupitia ushirikiano wa kimkakati…
NA DENIS MLOWE IRINGA KAMATI ya maandalizi ya mashindano ya ligi kugombea kombe la Vunjabei wametoa elimu kwa viongozi na manahodha wa timu 50 …