KOCHA HEMEDI MOROCO: TAIFA STARS IMEJIPANGA KWA MIKAKATI THABITI
Na Henry Victor, Maelezo Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Ali [Morroco] amesema kuwa, timu imekuwa na kambi ya maandalizi ya wiki nne…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Henry Victor, Maelezo Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Ali [Morroco] amesema kuwa, timu imekuwa na kambi ya maandalizi ya wiki nne…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024, yanayotarajiwa kuanza…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, ameongoza wafanyakazi wa BoT kushiriki katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2025 zilizofanyika leo,…
*Asisitiza kuhusu mazoezi ya mwili ili kujikinga na maradhi yasiyoambukiza *Apongeza NBC Dodoma Marathon kuiunga mkono Serikali mapambano dhidi ya Saratani ya Shingo ya…
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wameshiriki mbio za marathon zijulikanazo kama NBC Dodoma Marathon 2025″. Watumishi hao wameshiriki katika…
NA DENIS MLOWE, IRINGA TIMU ya Soka ya Kising’a fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano ya kombe la Vunjabei baada ya kuibabua…
Dar es Salaam. Magnet Youth Sports Academy imeipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano mawili ya kimataifa ya soka kwa…
*Mtanange wa ufunguzi kupigwa uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia Aug 2, 2025 Jijini Dar es Salaam. Ikiwa ni maandalizi kuelekea michuano ya “African Nations…
Wachezaji wa Mpira wa miguu Kikosi cha Mgera Fc wakiwa katika picha ya pamoja. Wachezaji wa Mpira wa miguu Kikosi cha Kalenga F wakiwa…
Na Oscar Assenga, TANGA USHIRIKI wa Watumishi katika michezo umetajwa kwamba ni njia nzuri ya kujenga amani na mshikamano ambao unaweza kuboresha afya…