Michezo
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TAMASHA LA KIHISTORIA LA KUDANSI KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Vijana wa Dar es salaam Dances International (DDI) wakifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi onyesho la kihistoria la kudansi lilotarajiwa kufanyika Katika Ukumbi wa…
YANGA SC WAANZA KWA KISHINDO LIGI KUU TANZANIA BARA
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameanza kampeni yao ya kutetea taji kwa ushindi mnono…
DKT. SAMIA AAHIDI KUENDELEZA MAENDELEO NA MICHEZO RUANGWA
NA JOHN BUKUKU- RUANGWA LINDI Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza hatua…
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA “NMB MBUZI CUP 2025” KATIKA SHULE YA SEKONDARI SAME
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Katika kuendeleza juhudi za kuunga mkono maendeleo ya vijana na kukuza vipaji kupitia michezo, Benki ya NMB imekabidhi vifaa…
YANGA SC YAIBUKA NA USHINDI MNONO DHIDI YA WILIETE SC ANGOLA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameanza kwa kishindo katika hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka…
YANGA YAIBUKA KIDEDEA NGAO YA JAMII
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC, katika mchezo wa Ngao ya…
Betway INAPANUA UZOEFU WA KASINO KWA KUTAMBULISHA MFULULIZO WA MICHEZO YEMYE UPEKEE
Dar es salaam, Tanzania – Septemba 15: Betway, Kampuni inayoongoza Duniani kwenye michezo ya kubashiri na burudani mtandaoni, inajivunia kutambulisha ofa yake mpya: Mfululizo…
Betway TUNZO, MCHONGO MPYA UNAOWAPA WATEJA SABABU ZAIDI ZA KUCHEZA NA Betway
Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na ubunifu mkubwa ambao unaendelea…
TIMU ZA NGOME ZINAZOMILIKIWA NA JWTZ ZAG’ARA
Timu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya Michezo mbalimbali ya Majeshi (BAMMATA) ambayo yanafanyika…