RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE
Viongozi wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 Aprili, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Viongozi wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 Aprili, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Na Shaban Juma, WAF – Dodoma Serikali ya Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kukuza utalii wa tiba, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao kazi cha pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati zinazoshughulikia mafuta leo…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Momba Mhe. Condester Michael Sichalwe, Bungeni Jijini Dodoma, aliyetaka kujua…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, kuhusu tuzo ya Uandishi Bunifu ya Mwalimu Julius Nyerere itakayofayika Aprili 13, 2026 jijini Dar…
Na Munir Shemweta, Nairobi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Leonard Akwilapo, anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Kongamano la…
Katika hatua inayoendelea kuipa heshima Tanzania kwenye ramani ya sayansi na afya duniani, Dkt. Stellah Mpagama ametajwa miongoni mwa viongozi wa afya duniani kutoka…
Matukio katika picha; Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi waliojumuika wa Dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu 𝗞𝗲𝗻𝗮𝗻𝗶 𝗞𝗶𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼𝘀𝗶, ametoa maelekezo kwa serikali kuhakikisha…
Na Ashrack Miraji fullshangwe Media Katika ukanda wa milima ya Pare Kusini, ndani ya Kata ya Vunta wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, kuna kivutio…