WAZIRI MAVUNDE AELEKEZA KUSIMAMISHWA KWA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI BUSULWANGILI-KAHAMA
▪️Ni sehemu ya utatuzi wa mgogoro wa Kikundi cha Isunda na wamiliki wa mashamba na maduara ▪️Waziri Mavunde aelekeza kuwasilishwa kwa nyaraka muhimu ndani…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
▪️Ni sehemu ya utatuzi wa mgogoro wa Kikundi cha Isunda na wamiliki wa mashamba na maduara ▪️Waziri Mavunde aelekeza kuwasilishwa kwa nyaraka muhimu ndani…
Na OWM-TAMISEMI , Morogoro. Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Watoto Ulimwenguni (UNICEF) inatoa mafunzo maalum kwa Maafisa…
*Ni katika muendelezo wa mkakati wa TANESCO wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. *Awataka kutumia vyombo hivyo kwa kazi husika za TANESCO. Na Mwandishi…
Na Maelezo Zanzibar 13.04.20256 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini Joseph J. Kilangi, amesema Serikali inaendelea kuweka miundombinu bora ya maji…
Miradi yote ya maendeleo yapitishwa na Mwenge wa Uhuru 2026 hakuna mradi uliokataliwa. Mwenge wa Uhuru 2026 umeanza kukimbizwa katika Mkoa wa Dar es…
Na John Mapepele, New York- Marekani Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa matumizi sahihi ya teknolojia na utafiti yana nafasi kubwa katika…
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude akizungumza kwenye halfa hiyo jijini Arusha leoMeneja wa TANESCO Mkoa wa Arusha, Mhandisi Kisika Kisika akizungumza kwenye…
Dodoma Aprili 13,2026 Washiriki 20 waliongia fainali ili kumpata mshiriki atakayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya Dunia (Miss World) leo wametembelea Hospitali ya…
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Wakazi wa Sagale Magengeni, kata ya Viziwaziwa wilayani Kibaha, wamelalamikia kero ya wachimbaji mchanga wanaodaiwa kusababisha kukatika kwa barabara inayounganisha…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 13 wa…