UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM KUONGEZA KINA WAANZA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, akitizama mchoro wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam awamu ya pili ya kuongeza kina…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, akitizama mchoro wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam awamu ya pili ya kuongeza kina…
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Rashid Magope (wa pili kulia) akiongea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo.…
Mhandishi Naomi Mcharo kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, akionesha maeneo ya hifadhi yanayozunguka bwawa la Dongobeshi hayapo katika picha. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuaga mwili wa aliyekua…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mara baada ya kuwasili…
********************** Na. WAMJW- DSM SERIKALI imepokea dozi 125,520 za dawa ya kutibu ugonjwa wa Malaria aina ya ALU zenye thamani ya milioni 51.8 ambazo…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ameshauri uongozi wa halmashauri nchini kuhamasisha vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM na…
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa uongozi na wafanyakazi wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) (hawapo pichani), katika kikao…
………………………………………………………….. MBUNGE wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh Milioni 918 kwa vikundi 100 vya Wanawake, Vijana…