Saturday, June 13, 2026

Mchanganyiko

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

56572 Stories
WANANCHI KIJIJI CHA LUKATA WILAYANI RUNGWE WAIPONGEZA RUWASA KUWAONDOLEA KERO YA MAJI

WANANCHI KIJIJI CHA LUKATA WILAYANI RUNGWE WAIPONGEZA RUWASA KUWAONDOLEA KERO YA MAJI

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Lukata kata ya inyala wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wakipata huduma ya maji katika moja ya vituo vya kuchotea maji vilivyojengwa kupitia mradi wa maji Lukata uliotekelezwa  kwa gharama ya Sh.milioni 357,391,000. Mwenyekiti wa kiiji cha Lukata kata ya Kinyala wilayani Mbeya Uswege Mwakyusa kushoto,akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji hicho Ikupa Songela katika moja ya vituo vya kuchotea maji vilivyojengwa katika kijiji hicho. Baadhi ya viongozi wa kijiji cha Lukata na kata Kinyala wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na kaimu meneja wa Ruwasa mkoa wa Mbeya Mhandisi Felix Msangi wa tatu  kutoka kushoto mstari wa nyuma. ……….. Na Muhidin Amri, Rungwe…

TPA YAZINDUA OFISI YAKE HARARE ZIMBABWE

TPA YAZINDUA OFISI YAKE HARARE ZIMBABWE

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa (katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Maendeleo ya Miundombinu Nchini Zimbabwe Mhe. Mha. Joy…