Monday, June 8, 2026

Mchanganyiko

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

56447 Stories
WWF YAIPIGA JEKI SERIKALI,YATOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA AJILI YA KUKABILIANA NA WANYAMAWAKALI NA WAHARIBU

WWF YAIPIGA JEKI SERIKALI,YATOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA AJILI YA KUKABILIANA NA WANYAMAWAKALI NA WAHARIBU

Afisa  mhifadhi wa shirika la kimataifa la uhifadhi mazingira(WWF)Deo Kilasara kulia,akikabidhi  kwa Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Simon Chacha,box lenye mabomu baridi  yaliyotengenezwa kwa kutumia pilipili yanayotumika kufukuza wanyama wakali hususani Tembo wanaovamia makazi ya binadamu wilayani humo. Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Simon Chacha kushoto,akimsikiliza afisa maliasili wa wilaya hiyo Dunia Almasi kuhusu matukio ya wanyama wakali na waharibifu wanaovamia makazi ya binadamu  baada ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali vikiwemo mabomu kwa ajili ya kufukuza wanyama wanatoka hifadhini na kwenda kwenye makazi ya  watu. Na Mwandishi Maalum,Tunduru SHIRIKA la Kimataifa la uhifadhi mazingira Duniani(WWF),limekabidhi vifaa mbalimbali kwa Serikali ya wilaya Tunduru na Namtumbo  vitakavyosaidia katika kudhibiti wanyama wakali na waharibifu…

WAKULIMA CHUNYA WAOMBA KUJENGEWA MAGHALA YA NAFAKA

WAKULIMA CHUNYA WAOMBA KUJENGEWA MAGHALA YA NAFAKA

Na Mwandishi Wetu, Mbeya WAKULIMA wa mazao ya nafaka wilayani Chunya mkoani wa Mbeya wameiomba serikali kuwajengea maghala ya kuhifadhia mazao ili kuepuka uuzaji…

HEROES MINING CAMP YASAIDIA YATIMA MIRERANI 

HEROES MINING CAMP YASAIDIA YATIMA MIRERANI 

Na Mwandishi wetu, Mirerani  Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Heroes Mining Camp imetoa msaada wa…

WACHIMBAJI MADINI WATAKIWA KUTOA CSR

WACHIMBAJI MADINI WATAKIWA KUTOA CSR

Na Mwandishi wetu, Mirerani  WACHIMBAJI madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wametakiwa kusaidia jamii inayowazunguka (CSR) ili kutimiza takwa…