Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WANANCHI 7000 KILOSA KUNUFAIKA NA MNARA WA MAWASILIANO WA AIRTEL TANZANIA
Morogoro, Machi 2025 Kampuni ya Airtel Tanzania imejenga mnara wa mawasiliano wa 4G Kijiji cha Idete, wilayani Kilosa, Morogoro, ambao unatarajiwa kuwanufaisha wakazi wapatao…
ALINIITA MSALITI NA KUIKATAA MIMBA!!
Naitwa Pili kutokea Zanzibar, miaka kama sita iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kutajiri, tulipendana sana na tulifanya kila kitu, baada ya…
MSAMA ACHANGIA UJENZI KANISA LA RECONCILIATION MISSIONARY BAPTIST
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, ameahidi kuchangia ujenzi wa Kanisa la Reconciliation Missionary Baptist lililopo Kigamboni, Dar es Salaam, kwa kusaidia ununuzi wa…
PROFESA JANABI AWANIA UKURUGENZI WA WHO KANDA YA AFRIKA
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kupokea majina ya wagombea watano (5) wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo kwa Kanda ya Afrika…
KAMATI YA NUU YARIDHISHWA NA UJENZI OFISI YA JESHI LA ZIMAMOTO MANYARA
Na John Walter -Babati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) imefanya ziara mkoani Manyara kwa ajili ya kukagua…
BENKI YA EXIM YAANDAA FUTARI TANGA NA ZANZIBAR KUIMARISHA UHUSIANO NA JAMII
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa…
WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO KATIKA KIJIJI CHA NARUNGOMBE WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kawenye kijiji cha Narungombe wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara, Machi 15, 2025.…
WASIRA ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO SONGWE NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI TUNDUMA
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 alipotembelea Shule ya Msingi Hiloli iliyopo wilayani Mbozi mkoani Songwe na kupata…
WALIOLIPIWA ADA VETA NA NAIBU WAZIRI SAGINI WAHITIMU MAFUNZO
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini, amekabidhi vyeti kwa wahitimu wa Mafunzo ya Udereva wa…