Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MFUMO WA BLOCKCHAIN KUSAIDIA WAKULIMA KUFUATILIA MWENENDO WA SOKO LA MAZAO – PROF. LOKINA
Naibu Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) – Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi Prof. Razack Lokina akifungua kikao kazi cha tathmini ya…
SANGU ATAKA RASILIMALIWATU SERIKALINI ISIMAMIWE VIZURI ILI KUKUZA UCHUMI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amesisitiza Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi katika utumishi…
MBIBO AWASISITIZA WATUMISHI MADINI KUZINGATIA UADILIFU, MAADILI KUTEKELEZA MAJUKUMU
*Awahimiza kuzingatia afya zao kuepuka magonjwa, changamoto ya afya ya akili *Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi…
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI
*Dodoma* Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa…
PUMA ENERGY YAWATAKA WAKAZI WA DODOMA KUCHAGUA NISHATI SAFI KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI
Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na ya uhakika kwa matumizi…
WANANCHI NJOMBE WAIOMBA TANESCO, REA KUONGEZA KASI YA KUWAUNGANISHIA UMEME
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Melela Mkoani Njombe wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge…
RAIS WA ZANZIBAR DKT.HUSSEIN MWINYI AMEGAWA SADAKA YA FUTARI KWA WANANCHI WA MAKUNDI MAALUMU MKOA WA KUSINI PEMBA
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)…
WAZIRI MKUU MGENI RASMI KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza ambako alikuwa mgeni rasmi…