Makala
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
HAUJAFA HAUJAUMBIKA, SHUKURU UNACHOPATA LEO KUNA WENGINE HAWANA KITU KABISA
***************************** Na Masanja Mabula,PEMBA ‘HUJAFA hujaumbika’, hivo ndivyo unavyoweza kusema na hakika matatizo yameumbiwa binadamu. Je, ulishawahi kujiuliza kwamba wakati wewe au familia yako…
KILIMO CHA MATANGO KINAVYOWANUFAISHA WAJASILIAMALI
*********************************** NA EMMANUEL MBATILO Matango ni matunda yanayojulikana kwa kuwa na faida ya kuondoa sumu mwilini na wengine wamekuwa wakiyatumia kwa namna nyingi. Asili…
MCHANGO WANGU KUHUSU MJADALA WA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI
………………………………………………………………………………………….. Imani Mbaga,Madau Kwanza kabisa nimshukuru mhe, waziri mwenye dhamana ya michezo, Dr Mwakyembe, kwa kuurasmisha huu mjadala, kwakuwa umekuwapo kwa muda mrefu katika…
Mbuyu wa Uandishi, Fili Karashani, Umeanguka
******************************** Na Kajubi Mukajanga Saa sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili, Mei 10, 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya…
DHANA YA UWEZESHAJI WANANCHI IMEGUSA MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM
………………………………………………………………………………… Na Ismail Ngayonga,MAELEZO DAR ES SALAAM SERIKALI ikishirikiana na wadau mbalimbali kutoka Sekta Binafsi imekuwa ikitekeleza majukumu mbalimbali ya kuwawezesha Wananchi Kiuchumi ili …
Mchezo wa Ngumi Warejesha Heshima ya Tanzania Kimataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa…
TUSIMAME NA RAIS MAGUFULI, TUSIMAME NA UKWELI
***************************** Na Emmanuel Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba…
MUUNGANO WETU NI FAHARI YETU
…………………………………………………………………………………. Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 56 imetimia tangu jahazi lililowabeba Watanganyika na Wazanzibar liweke historia ya kung’oa nanga mara baada ya Jamhuri…
Kwanini Marais Afrika Wamefeli Kwenye Lockdown?
****************************** NA Maggid Mjengwa. Corona.. Tafakuri Jadidi: – Kufunga Ilikuwa Rahisi, Kufungua Kunawawesesha Marais Ndugu zangu, Nilipata kuandika hapa; ‘ Alipofeli Cyril Ramaphosa’. ilihusu…