Benki ya NMB Tawi la Kisiwani Pemba Lafutarisha Wateja Wake na Wananchi.
WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Kisiwani Pemba, wananchi na wateja wao wakiwa katika sala ya pamoja, iliyofanyika Chake Chake kuelekea kwenye futari maalumu…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Kisiwani Pemba, wananchi na wateja wao wakiwa katika sala ya pamoja, iliyofanyika Chake Chake kuelekea kwenye futari maalumu…
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Serikali imesema inafanya marekebisho ya tozo mbalimbali kwa wafanyabiashara wakiwemo wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo ili kuwawezesha wafanyabiashara…
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akiongoza kikao kazi cha majumuisho ya ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ufuatiliji wa utekelezaji…
Shehena ya ufuta tani 666 zilizouzwa kwenye mnada wilaya ya Namtumbo na kuingizia wakulima shilingi Bilioni 2 zikiwa ghalani kabla ya mnada. Moja ya…
Mwakilishi wa Watengenezaji mifuko mbadala kutoka katika Kampuni ya Kutengeneza Mifuko Mbadala ya Gin Investement limited, Mr. Daniel, akizungumza na Waandishi wa habari(hawapo pichani)…
Zaidi ya Wamiliki wa Nyumba 25 Elfu Wametakiwa Kukitumia Kipindi Cha Kuanzia Sasa Hadi Juni 30 Mwaka Huu Kukamilisha Zoezi la Ulipaji Kodi ya…
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw (kulia) akimkaribisha Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir (kushoto) wakati wa Futari iliyoandaliwa na NMB katika Hotel ya Serena.…
Mkaguzi wa Chakula Dawa na Vipodozi Abrahman Hamadi Mussa akionesha kwa Waandishi wa Habari Bidhaa ya Majani ya Chai yalioingizwa nchini kinyume na Utaratibu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba…