WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA
Baadhi ya wadau walioshiriki katika kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Baadhi ya wadau walioshiriki katika kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na…
************************************** Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiongoza kamati ya Kudumu…
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Emmanuel Luhahula akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuweka jiwe…
******************************************* Na Allawi Kaboyo – Bukoba. Mkoa wa Kagera umeungana na mikoa mingine nchini katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya maji kwa kutembelea…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) Mhandisi Patrick Nzamba na baadhi wa wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa…
Kamishna wa Ardhi Msaidi Mkoa wa Mbeya Bi. Syabumi Mwaipopo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi mbele ya…
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (hawapo pichani) wakati wa ziara yake…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga akifafanua jambo alipotembelea kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mkoani Rukwa hivi…
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ilala, ACP Janeth Magomi (kushoto) akizungumza na baadhi ya wananchi wa eneo la Kata ya Pugu Mnadani…