joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI DARAJA LA SELANDER DAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akipata ufafanuzi kutoka kwa msimamizi wa mradi wa ujenzi…
Waziri Mkuu atoa siku 15 kukamilika kwa Hospitali ya Uhuru
***************************************** Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Mjaliwa (Mb) ametoa siku 15 kwa Halmashauri ya Wilaya…
SERIKALI YAKEMEA WAZAZI WANAOSABABISHA UKATILI KWA WATOTO
Katibu Mkuu Wizara ya Afya – Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akikata utepe kuzindua Dawati la Ulinzi wa Mtoto katika…
TANZANIA YAAHIDI KUENDELEA KUISAIDIA CONGO KULINDA AMANI UKANDA WA MAZIWA MAKUU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akifuatilia Mkutano wa Nane wa Kawaida wa Wakuu wa…
JESHI LA POLISI TANZANIA NA POLISI MSUMBIJI KUFANYA OPERESHENI ZA PAMOJA
********************************** 20/11/2020 MTWARA, TANZANIA Mkuu wa wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Msumbiji Bernadino Rafael…
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa chama hicho…
PICHA: MAFUNZO YA WAHESHIMIWA WABUNGE YAHITIMISHWA BUNGENI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kwanza kushoto) akihitimisha mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la 12 leo Bungeni Dodoma. Katikati ni Naibu…
KATIBU MKUU KILIMO APONGEZA MKOA WA MARA KUKUFUA ZAO LA KAHAWA.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa kahawa wakati alipotembelea kikundi cha wakulima wazalishaji miche ya kahawa ”…
TBS NA ZBS WAANDAA TUZO YA UBORA YA SADC KWA WAFANYABIASHARA NA WAZALISHAJI WA BIDHAA
Afisa Viwango Mkuu kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS),Bw.Nickonia Mwabuka akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Shirika hilo Jijini Dar es…