joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MABADILIKO YA MANAIBU MAKAMISHNA WA UHIFADHI WAWILI WA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO
************************************************ Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya…
MHE.WAITARA AIELEKEZA NEMC KUHAKIKISHA MAENEO YA WACHIMBAJI WADOGO YANAPANDWA MITI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara akizungumza na wachimbaji wadogo (hawapo pichani) alipotembelea machimbo ya Buhemba wilayani…
YANGA YAINYUKA DODOMA JIJI MABAO 3-0, NTIBAZONKIZA HAWA NURU
*********************************************** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Klabu ya Yanga imeendelea kufanya vizuri kwenye ligi ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kufanikiwa kuichapa Dodoma…
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kuwaagenda ya kudumu mkoani Rukwa
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ****************************************** Na. Abdulrahman Salim Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa – Rukwa. Mkuu wa mkoa…
Mhe. Bashungwa asema Sera ya Michezo ni Hai,inahitaji Mpango Mkakati wa Utekelezaji
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amefungua kikao cha kupokea maoni kuhusu Mpango Mkakati wa Maendeleo ya Michezo kutoka kwa…
SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI MADEREVA NA VYAMA VYA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WAJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA USAFIRISHAJI NCHINI
Kamishna wa Kazi, Brig. Gen. Francis Mbindi akieleza jambo wakati wa kikao kazi cha mashauriano na Vyama ya Wafanyakazi Madereva na Vyama vya Wamiliki…
WAZIRI MKUU AAGIZA KITUO CHA KIHINGA KITENGEWE BAJETI
******************************************* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ikiimarishe kituo cha utafiti wa zao la michikichi cha Kihinga kilichopo mkoani Kigoma kwa kukitengea…
WAZIRI MKUU AIPA AGIZO WIZARA YA KILIMO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwahutubia Wadau wa zao la chikichi katika mkutano aliouhitisha na kuuongoza kama Mwenyekiti…
RC KUNENGE APIGA MARUFUKU UTARATIBU WA MADALALI KUPEWA VIZIMBA KWENYE MASOKO, ASEMA MADALALI HAO NI CHANZO CHA KUPANDA KWA BEI YA KODI YA PANGO NA KUUMIZA WAFANYABIASHARA
*************************************** Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amepiga marufuku tabia ya baadhi ya masoko kupangisha vizimba kwa madalali Kisha madalali…