joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SERIKALI YA JPM YAZIBANA KAMPUNI ZINAZOUMIZA WATUMISHI NA WASTAAFU KWA KUTOZA RIBA KUBWA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi, akimbidhi Sh.milioni 8,600,000, Esther Pununta (wa pili kushoto) mbele ya Wajumbe wa Baraza la Madiwani…
TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE- PROF. MKENDA
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga akiwa ameshika nyaraka za ofisi kabla ya kumkabidhi rasmi Waziri mpya wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda (…
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NNE WATAKIWA KUJIELEZA KWA KATIBU MKUU TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa…
MBUNGE NEEMA LUGANGIRA AWASHUKURU BODABODA WA MANISPAA YA BUKOBA KWA NAMNA WALIVYOSHIRIKI KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2020
MBUNGE wa Viti Maalumu Tanzania Bara kupitia (NGOs) Mhe. Neema Lugangira katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na bodaboda wa Manispaa ya Bukoba mara…
DKT. GWAJIMA AMETAKA PESA ZA DAWA ZIHESHIMIKE
***************************************************** Na. Catherine Sungura,WAMJW-Dodoma Viongozi wa vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wametakiwa kuheshimu fedha za dawa kadri zilivyopangwa kwenye bajeti ya…
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT MWIGULU AAGIZA (RITA) KUHAMIA DODOMA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) akiwa katika ziara…
Halmashauri ya Kaliua yamkosha Dkt. Dugange ukusanyaji wa mapato.
********************************************* Na Mwandishi Wetu Kaliua Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Festo Dugange amewahimiza…
UJENZI WA KIWANDA CHA SIMU KUSAIDIA UTATUZI WA AJIRA KWA WAHITIMU WA VETA NCHINI
Mkurugenzi wa Leseni na Ufuatiliaji TCRA Bw. John Daffa akizungumza katika mahafali ya 9 ya Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasilino TEHAMA VETA,…