fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IFTARI NA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akijumuika na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Ruvuma wakiwemo, watu wenye…
KAMATI YA BUNGE TAMISEMI YATAKA FEDHA KUONGEZWA KUKAMILISHA BARABARA ZA PICHANDEGE–SGR NA KONGOWE
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Machi 14, 2026 KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeielekeza Serikali kuongeza fedha ili kukamilisha ujenzi wa barabara ya kiwango…
RAIS SAMIA AANDAA IFTAR KWA MAKUNDI MBALIMBALI PEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na makundi mbalimbali ya Wananchi wa Wete kwenye Futari aliyowaandalia katika…
WACHIMBAJI WADOGO MBOGWE WASHAURIWA KUFUATA KANUNI ZA MSAADA WA KIUFUNDI
Mbogwe , Geita Wachimbaji wadogo wa madini Mkoa wa kimadini Mbogwe wametakiwa kuzingatia Kanuni za Msaada wa Kiufundi zilizotangazwa na Serikali ili kuongeza tija…
ZAIDI YA BILIONI 8 ZATUMIKA KUBORESHA MTANDAO WA BARABARA WILAYANI ARUMERU
📌Wanawake na Vijana wajengewa uwezo ushirikishwaji wa vikundi 📌Barabara ya Zege yawa Mkombozi kwa wakazi wa Machumba-Nkoarua Arumeru Serikali kupitia Wakala ya…
DKT. NDUMBARO: UJENZI WA OFISI YA TAKUKURU NYANG’HWALE NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WA KUPAMBANA NA RUSHWA, HEKO KWA VIONGOZI WA OFISI YA RAIS UTUMISHI NA UTAWALA BORA NA WATENDAJI WA TAKUKURU
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Katikati) akifuatilia jambo wakati walipotembelea na kukagua mradi…
KAMATI YA BUNGE YATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA KILIMO CHA CHAI MPONDE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Hawa Mchafu, imekagua na kuridhishwa na uendeshaji wa…
BALOZI WA TANZANIA SWEDEN AWAPONGEZA WATUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Na Baraka Serapion- Sweden Aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, leo tarehe 14 Machi, 2026, amekutana na watumishi…
GRIDI YA TAIFA YA MAJI ITACHOCHEA MAENDELEO KWA KASI
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Maji ni kimiminika muhimu kwa maisha na uhai wa viumbei. Maji hutumika kuanzia asubuhi, mchana, jioni hadi usiku. Hutumika…