fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HUDUMA (WING B) HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI
▪︎ Aagiza mradi ukamilike kwa wakati na ubora, asisitiza malipo kwa wafanyakazi wa mradi yafanyike kwa wakati ▪︎Awapongeza watumishi wa afya kwa weledi WAZIRI…
WAZIRI WA KAZI NA UWEKEZAJI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR
Na Maelezo Zanzibar 16.03.2026 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeweka mazingira rafiki katika sekta binafsi kwa lengo la kuimarisha vivutio vya uwekezaji, kukuza ushirikiano…
MOTO WATEKETEZA MABANDA YA BIASHARA KATIKA ENEO LA GARDEN IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA MABANDA ya wafanyabiashara wadogo katika eneo la Garden, linalomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, yameteketea vibaya baada ya moto…
NILISHINDA ZABUNI KUBWA YA BIASHARA SIKU TATU TU BAADA YA KUFANYA TAMBIKO LA KUVUTIA BAHATI
Jina langu ni Omari. Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Dodoma, na kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kukuza biashara yangu na kupata nafasi…
TUME YA MADINI YAWEZESHA VIJANA 2,550 KUPATA AJIRA
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Kupitia Tume ya Madini, Serikali imeendelea kutoa kipaumbele kwa Vijana ambapo hadi kufikia mwezi Desemba 2025, Tume ya…
MNYONE ATAKA VIONGOZI WA TAASISI KUWA WABUNIFU KUFANIKISHA DIRA YA 2050
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ladslaus Mnyone, amewataka viongozi wa taasisi mbalimbali…
MKANDARASI ATAKIWA KUKAMILISHA JENGO LA MAADILI KANDA YA ZIWA MWEZI JUNI, 2026
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji…
AZAM FC WAIBANA YANGA SC
Kikosi Cha Azam FC wamefanikiwa kutoka sare tasa ya bila kufungana dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo, Machi…