fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA SARATANI
Na. WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau ikiwemo Taasisi ya Shujaa cancer Foundation katika kutokomeza ugonjwa wa…
KAMATI YA SIASA NYAMAGANA YACHARUKA KUSUASUA UJENZI BARABARA YA BUHONGWA,IGOMA.
Mwenyekiti wa CCM Wilayaya Nyamagana, Peter Bega (katikati).leo akizungumza na waandishi wa habari wakati Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo ilipotembelea mradi wa kimkakati…
RAIS DKT. SAMIA APOKELEWA NA RAIS WA UTURUKI MH. RECEP TAYYIP ERDOGAN KATIKA IKULU YA KULLIYE JIJINI ANKARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan mara baada…
MADAKTARI SEKOUTOURE WAFANIKISHA KUTOA JIWE LA GRAM 800 KWENYE KIBOFU CHA MKOJO
Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha Mkojo kwa Mwanamke mwenye…
VODACOM YAZINDUA SIMU JANJA MAALUMU ITAKAYOSAIDIA WENYE ULEMAVU
Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya…
WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA SADCOPAC
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na…
KINANA: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITACHUKUA HATUA KUKABILI ATHARI ZA MVUA
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akizungumza na Viongozi wa CCM katika kikao maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Musoma…
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
*Asema limepunguza athari za mafuriko *Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji *Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika *Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya…