Wednesday, October 14, 2026

fullshangwe

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

31869 Stories
MADAKTARI BINGWA KUTOKA MIKOA YA MBEYA,SONGWE NA RUVUMA WAPIGA KAMBI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA

MADAKTARI BINGWA KUTOKA MIKOA YA MBEYA,SONGWE NA RUVUMA WAPIGA KAMBI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA

Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wakisubiri huduma ya uchunguzi na matibabu  kutoka kwa Madaktari Bingwa wa mikoa ya Songwe,Mbeya na Ruvuma waliopo kwenye kambi maalum  kwa ajili ya kutoa huduma za Kibingwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso). Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akisalimiana na  Madaktari Bingwa wa mikoa ya Ruvuma,Songwe na Mbeya  baada ya kufungua  zoezi la uchunguzi na matibabu ya Kibingwa kwa wananchi wa mkoa Ruvuma yanayoendelea katika Hospitali ya Mkoa mjini Songea. Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akizungumza  na wananchi,watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso) na Madaktari Bingwa kutoka mikoa ya Songwe,Mbeya na Ruvuma kabla ya kuanza kwa utoaji wa huduma za Kibingwa zinazoendelea kutolewa katika Hospitali hiyo. …………. Na Mwandishi wetu,…

BASSFU YATUA MKUNAZISAMAKI KUSIKILIZA WANANCHI

BASSFU YATUA MKUNAZISAMAKI KUSIKILIZA WANANCHI

Mrajis Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) Juma Choum Juma akizungumza  na wananchi wa shehia ya Kisauni na Maungani kuhusiana…

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 29, 2024. (Picha na…