SASA ARUSHA NI SHWARI, NIMEKULA KIAPO NA WADUDU KULINDA AMANI YA MKOA
Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Paul Makonda akitoa salama zake katika sherehe za meimosi amesema kuwa, kuanzia leo Arusha ni mkoa shwari na salama…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Paul Makonda akitoa salama zake katika sherehe za meimosi amesema kuwa, kuanzia leo Arusha ni mkoa shwari na salama…
Serikali Imetoa fedha kiasi cha Sh. Mil. 800 kwaajili ya ujenzi wa soko la samaki katika kata ya Manda Wilayani Ludewa mkoani Njombe litakalo…
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe Mhe. Katoki Mwakitalu ametoa hukumu katika Shauri la Jinai Nambari 118 la Mwaka 2023 Aprili 30/…
Dar es Salaam. Kila ifikapo Aprili 28 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Kimataifa ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi kwa lengo la…
Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakisherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid…
Mratibu wa mafunzo ya muda mfupi, John Kambona akizungumzia kuhusiana na huduma mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho. Afisa Tehama kutoka chuo hicho, Kitururu Mndeme…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024 amemkabidhi Meja Jenerali Chelestino Elias Msola…
Na. Mwandishi Wetu Wakala wa Nishati Vijijini (REA); unategemea kusambaza huduma ya umeme kwenye vitongoji 31,532 vilivyobaki nchini ili kuharakisha upatikanaji wa huduma za…
Na Issa Mwadangala Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bupigu iliyopo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wametakiwa kujiepusha na vishawishi vya mafataki wanaotaka kukatisha ndoto…