fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHIWA KITABU CHA MIAKA 60 YA JMT
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano…
KAMATI YA BUNGE YAIMWAGIA SIFA NIRC KUTEKELEZA VIZURI MIRADI YA UMWAGILIAJI
*Yampongeza Mkurugenzi Mkuu Ndugu Mndolwa, yamtia moyo achape kazi MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, imeipongeza Tume…
MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI PWANI YA TANZANIA
………………… Dar es Salaam, 03 Mei 2024 saa 3:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga…
NAIBU WAZIRI PINDA AKABIDHI BAISKELI KWA WALEMAVU KAVUU
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mhe, Geophrey…
KIMBUNGA HIDAYA CHAENDELEA KUIMARIKA
Dar es Salaam, 02 Mei 2024 Usiku: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika…
DKT. PINDI CHANA: MAWAZIRI WA MASUALA YA SHERIA KUTOKA NCHI WANACHAMA WA (EAC) KUJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA
Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana leo, Alhamisi Mei 02.2024 ametembelea makao makuu ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyopo…
MWANAFUNZI CHUO CHA SAUTI AFARIKI AKIOGELEA
Aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Kampasi ya Mwanza Boaz Sanga Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza Mrakibu…
MIAKA MIWILI YA ROYAL TOUR: MAPATO, WATALII VYAPAA MLIMA KILIMANJARO
Ikiwa ni miaka miwili sasa ya filamu ya Royal Tour leo Mei 2, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi…