KINGEREZA KUFUNDISHWA KUANZIA DARASA LA KWANZA
Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali…
Na. Damian Kunambi, Njombe Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan walio wasili wilayani hapo kwa…
*Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini kufanyika Dodoma Juni 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza katika kikao kifupi na…
Wanakijiji wa kijiji cha Siliwiti wilayani Momba wametakiwa kuachana na imani potofu za kishirikina ikiwemo ramli chonganishi pamoja na unywaji wa pombe uliopindukia. Kauli…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko alipowasili kwenye viwanja vya jengo la Hazina jijini…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni…
Afisa Maendeleo Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Christabela Ngowi akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS ya Nchini…
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo…
Na Lucas Raphael,Tabora Mkuu wa wilaya ya Tabora Deusdedith Katwale amewataka watoa huduma kwenye Mabasi kuzingatia Sheria kanuni na taratibu za usafirishaji wa Abiria…