fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA LISHE CANADA
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na lishe (Nutrition International), ameshiriki katika vikao vya Bodi hiyo,…
MAWASILIANO YA BARABARA DAR – LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo na…
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA MAELFU KATIKA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika Sala ya Maiti ya…
SERIKALI YAONGOZA MAZISHI YA ALIYESHIRIKI TUKIO LA KUCHANGANYA UDONGO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwasili nyumbani kwa Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio…
DKT. NDUGULILE KUWANIA UKURUGENZI MKUU WHO KANDA YA AFRIKA
Na. WAF – Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemchagua na kumpendekeza Dkt. Faustine Ndugulile kugombea…
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA MAABARA NGAZI YA MSINGI
WAF, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza…
MCHENGERWA ATAKA HEWA UKAAA KUWA CHANZO KIPYA CHA MAPATO YA HALMASHAURI
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za…
WIZARA, TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati…
DC-KHERI JAMES AFUNGUA KIKAO KAZI NA MAFUNZO CHA TRAMPA
Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James amefungua kikao kazi cha watunza kumbukumbu na nyaraka Tanzania, kilichofanyika kitaifa wilayani Iringa na kuhudhuriwa na…