MIRADI YENYE THAMANI YA TSH 27,470,627,841.62 YAPITIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU TEMEKE
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Temeke umekimbizwa umbali wa KM 81.78 Kukagua, kuweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Temeke umekimbizwa umbali wa KM 81.78 Kukagua, kuweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali…
Na Mwandishi wetu,Katavi WANANCHI waishio vijiji vya pembezoni mwa hifadhi ya Taifa Katavi waishukuru hifadhi hiyo kwa kuendelea kuwasaidia katika kuwaletea maendeleo mbalimbali ikiwemo…
Taarifa iliyotufikia kutoka Mahakama ya Wilaya ya Tanganyika inasema Mei 09, 2024 mbele ya Mhe. Sydney Nindi, Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo imefunguliwa kesi…
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa jitihada endelevu za…
BENKI ya Equity na Kampuni ya Gesi ya Oryx zimekubaliana kuiunga mkono Serikali kuhusu matumizi ya nishati safi, ili kupunguza uchafuzi wa mazingira. -Rais…
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mha. Godfrey Kasekenya, akizungumza katika Semina jijini Dodoma, kuhusu mkakati wa kuongeza ushiriki wa wazawa kwenye miradi ya ujenzi nchini…
*Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria *Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo *Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mhe. Sinde Warioba mara…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutoa misaada ya kibinadamu na urejeshaji wa hali kutokana na athari zilizosababishwa na Kimbuga HIDAYA kwenye maeneo…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alipowasili Kibaha Mkoani Pwani…