SERIKALI KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA PARACHICHI RUNGWE
SERIKALI imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SERIKALI imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira…
Viongozi wa dini mbalimbali nchini na wazee wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kusimamia mmomonyoko wa maadili katika jamii na kuhakikisha mila na desturi…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe La msingi la ujenzi wa jego la utawala la halmashauri ya Busokelo Mkoa wa Mbeya, Mei 11, 2024.…
Kaimu Mkurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Mashariki, Mhandisi Regina Mvungi (kulia) akimkabidhi zawadi Mfanyakazi bora wa Mkataba wa muda maalamu 2023/2024…
CHAMA Kikuu cha Ushirika (RUNALI) kimegawa jumla ya viroba laki 800,000, vitabu pamoja na kamba kwa wakulima wa wilaya ya Nachingwea, Ruangwa na Liwale…
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam Kituo Cha Tegeta Stella Sarakikya (kushoto) akimkabidhi Madaftari Mwalimu Mkuu Msaidizi…
Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga Bi. Pili Mnyema ameipongeza timu ya Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI ikiongozwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen ambaye…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa…