fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. EMMANUEL NCHIMBI AWASHA MOTO VIWANJA VYA KILOMBERO ARUSHA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiingia katika Viwanja vya Kilombero jijini Arusha kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara…
GENERATION QUEENS (MWANAMKE SAHIHI FETE)YATOA TUZO ZA” KAZI IENDELEE AWARDS”-MSIMBE
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Juni 3, 2024. MWENYEKITI wa kikundi cha wanawake cha Generation Queens (MWANAMKE SAHIHI FETE) mkoani Pwani, Betty Msimbe amewaasa wanawake…
BRELA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUJISAJILI ILI KUCHANGAMKIA FURSA KIBIASHARA
Afisa Sheria za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) Lupakisyo Mwambiga wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonyesho ya 11…
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO KUHUSU PPP
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akieleza kuhusu utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Ubia kati ya Sekta ya Umma…
NAIBU WAZIRI PINDA AHIMIZA KULIPA KODI YA ARDHI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizungumzia zoezi la ukusanyaji…
CHANGAMOTO ZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA AFYA HOSPITAL BINAFSI ZAJADILIWA
Kaimu Mkurugenzi Idara ya usajili na usimamizi wa Wanachama Mfuko wa huduma za Afya Zanzibar (ZHSF) Ali Idrissa Abeid wakati alipokuwa akifungua mkutano wa…
MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA KUCHANGIA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
Na WAF – Dar Es Salaam Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Dkt. Mohammed Mang’una amesema uwepo wa kampeni ya Madaktari Bingwa…
MRADI WA MAJI NANGOMBO KUNUFAISHA WANANCHI 13,323
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza baada ya kukagua chanzo cha maji Nangombo wilayani Nyasa ambacho kinatumika kwenye…
DC KINGARAME AWAOMBA WAWEKEZAJI KUWEKEZA GEITA.
Wananachi Mkoani Geita wametakiwa kuendelea kutumia fursa mbalimbali zilizopo ndani ya Mkoa huo zikiwemo za kilimo,uvuvi,ufugaji na uchimbaji wa madini ya dhahabu kwaajili ya…