fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. EMMANUEL NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANA CCM KILIMANJARO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa makundi mbalimbali, Viongozi wa Chama…
SERIKALI YATENGA BILIONI 1.3 KUANZA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA JIMBO LA SAME MASHARIKI.
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro SERIKALI imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 kwa ajili ya kuanzwa kwa ujenzi wa majengo manne hospitali ya wilaya…
WAFANYABIASHARA NG’OMBE NA BENKI YA TADB WANDAA MAONESHO YA KIMATAIFA YA MIFUGO
Na SOPHIA KINGIMALI. Chama cha Wafanyabiashara wa Ng’ombe Tanzania (TCCS) kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wameandaa maonesho ya Kimataifa…
IFANYENI SEKTA YA UVUVI AFRIKA KUCHANGIA PATO LA TAIFA:DKT BITEKO
*Afungua rasmi mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi Afrika * Ataka changamoto za uvuvi Afrika kutatuliwa * Asema sekta ya uvuvi inachangia sh.trilioni…
DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TCB
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Bw. Adam Mihayo, ambapo walijadili kuhusu…
MASAUNI AWASILI MKOANI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI KUTEMBELEA MAKAMBI YA WAKIMBIZI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na…
DKT. NCHEMBA AZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA EXIM BANK
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika Mkutano kwa njia ya mtandao jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank-…
EMEDO, TMA WAONGEZA NGUVU KUISAIDIA JAMII KUTOZAMA MAJI
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) , Monica Mutoni (kulia) akizungumza jambo katika warsha ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari …
FCC, CTI WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KIUTENDAJI
Na Sophia Kinginali. TUME ya Ushindani (FCC) na Shirikisho la Wenye Viwanda Nchini (CTI), wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji katika kuboresha mazingira ya…