fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MRADI WA MADINI MGODI WA KIWIRA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kwa lengo la…
ZAIDI YA WASICHANA 2000 KUNUFAIKA NA MRADI WA ‘Code Like a girl’
Mwezeshaji wa programu ya Tehama, Suna Salumu, akiwaelekeza wanafunzi wa kike katika Chuo Cha Ualimu Butimba, Mwanza, wanaoshiriki katika programu maalum ijulikanayo kama ‘Code…
VYAMA VYA SIASA VYASAPOTI KANUNI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI Z1 MITAA
Vyama vya siasa vimeunga mkono rasimu ya kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, ambapo leo wawakilishi kutoka vyama…
RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AMTAWAZA KUWA MWENYEKITI WA KIGODA CHA TAALUM CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi…
MTAMBO NAMBA NANE WAKAMILIKA BWAWA LA MWALIMU NTERERE, KUINGIZA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo nambkutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika…
WAZIRI MKUU ATAKA HATUA ZICHUKULIWE KUONDOA UDUMAVU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo kuhusu aina ya virutubishi vinavyozalishwa na kiwanda cha Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar…
TANESCO MARA WAMUWASHIA UMEME BURE MZEE WA MIAKA 82
Watumishi wa Shirika la umeme Nchini Tanesco walippmtembelea Mzee James Gidion Mkazi wa Bunda ambaye amevalia kofia na kulia kwake ni Meneja wa Tanesco…
KADI YA NIDA SIO KIGEZO CHA KUANDIKISHWA KUWA MPIGA KURA
Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema watu wote wenye sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wataandikishwa…