RITA YAUNDA KAMATI YA KUSIMAMIA MSIKITI ARUSHA
Na Mwandishi Wetu, Arusha WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini nchini (RITA)umeunda Kamati ya muda itakayochukua majukumu ya Bodi ya Udhamini iliyomaliza muda wake…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Mwandishi Wetu, Arusha WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini nchini (RITA)umeunda Kamati ya muda itakayochukua majukumu ya Bodi ya Udhamini iliyomaliza muda wake…
Na Mwandishi wetu, Mirerani MKUU wa mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga ameadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kwa kutembelea kituo cha Light In…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa kituo cha ujuzi kwa vijana kilichopo mwera pongwe…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Taifa wa Bingu uliopo Lilongwe nchini Malawi…
*Dkt. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa *Wafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao * Wafugaji na…
Muonekano wa kituo cha mafuta kinachojengwa katika mji wa Namtumbo wilayani Namtumbo. Mmiliki wa kituo cha mafuta kinachojengwa katika mji wa Namtumbo mkoani Ruvuma Said Kazibure kushoto,akimkabidhi taarifa ya mradi huo ,kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2024 Godfrey Mnzava, kulia kwa Mnzava ni Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Ngollo Malenya. Na Mwandishi Maalum, Namtumbo WAKAZI wa mji wa Namtumbo hasa wanaotumia vyombo vya usafiri ikiwemo pikipiki na magari,wataondokana na adha ya huduma ya nishati ya mafuta baada ya kuanza kujengwa kwa kituo cha mafuta.…
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (upande wa kulia),akizungumza na Mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Sheikh Salum Msabaha (upande wa kushoto)…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar…