fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
IMF YAIDHINISHIA TANZANIA SH. TRILIONI 2.46 KUSAIDIA BAJETI NA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) litaipatia Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 935.6 (sawa na shilingi…
BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA TIXON NZUNDA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amejumuika pamoja na waombolezaji wengine, kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili…
KITETO YAPOKEA SHILINGI 949,200,000 ZA MIRADI YA MAENDELEO
Na Mwandishi wetu, Kiteto WILAYA ya Kiteto mkoani Manyara, imepokea shilingi 949,200,000 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo. Mbunge…
KOKA AWAPIGA SAPOTI UWT KIBAHA MJI YA MIFUKO 100 YA SARUJI
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka katika kutekeleza Ilani ya chama kwa vitendo ametoa mifuko 100 ya sarufi kwa…
DKT KISEMGE: JAZENI PEPMIS KWA WAKATI
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge wakati akieleza utendaji kazi wa taasisi hiyo…
SERIKALI KUENDELEA KUTOA PROGRAM YA MAFUNZO YA KOZI FUPI YA UANAGENZI
Mkurugenzi wa Huduma za Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi ,Kazi,Vijana Ajira na wenye Ulemavu Joseph Nganga akiwakabidhi cheti wahitimu wa program ya…
WIZARA YA FEDHA YASHAURIWA KUWAFIKIA WANANCHI WOTE
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, Bi. Grace Quintine, akipokea kitabu chenye mada mbalimbali ikiwemo uwekezaji, akiba na mikopo zitakachotumika kutoa elimu kwa…
SERIKALI KUU YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 27.4 KUTOKA BENKI YA CRDB
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akimkabidhi Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni Wizara ya Fedha,…