fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAJIKUTA WAKUNUNUA NYUMBA YENYE MAJINI KWA KSH. 9K MILIONI
Wanandoa Hillary na mkewe Salome walilazimika kukabiliana na changamoto kubwa pindi tu waliponunua nyumba nzuri iliyopambwa vizuri na yenye vyumba vinne huko Ruiru, kaunti…
USAID KIZAZI HODARI KUIMARISHA AFYA WATOTO MAZINGIRA HATARISHI
Mradi wa USAID kizai hodari unalenga kuimarisha afya, ustawi na ulinzi wa watoto yatima, wenye mazingira hatarishi pamoja na vijana wa rika barehe wanaoishi…
SAGCOT KUINUA KILIMO CHA ZAO LA VIAZI MVIRINGO
Na Mwandishi Wetu, Songea KITUO cha Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania (SAGCOT) kimeulezea Mkoa wa Ruvuma kama ni eneo lenye ardhi…
HALMASHAURI YA NSIMBO IMEWEKA MKAKATI WA KUPUNGUZA UDUMAVU
Na Zillipa Joseph, Katavi Lishe ni majumuisho ya hatua mbalimbali tokea chakula kinapoliwa na jinsi miili inavyochukua virutubisho na kuvitumia katika kumpatia mlaji afya…
UONGOZI SOKO LA KARIAKOO WAKANUSHA TAARIFA YA UGAWAJI WA VIZIMBA KINYUME NA TARATIBU
Mwonekano wa soko la Kariakoo linaloendelea na ukarabati na ujenzi jijini Dar es Salaam ambapo mradi huo umefikia asilimia 93 ambapo Serikali ya Awamu…
MAKATIBU WAKUU WAKAMILISHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 45 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC
Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana jijini Arusha kwa kikao cha siku tatu (3) kuanzia tarehe 25 hadi 27 Juni, 2024…
AIR TANZANIA KUONGEZA SAFARI ZA KIMATAIFA,KUPASUA ANGA HADI OMAN
Balozi wa Oman nchini hapa,Saud bin Hilal Alshaidani (kulia)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania,Mhandisi Ladislaus Matindi namna wanavyoweza kushirikiana kibiashara kwa…
WATUMISHI GST WAPATIWA SEMINA YA MAADILI, RUSHWA NA MAGONJWA
Watumishi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) wamepatiwa Mafunzo ya Maadili, Rushwa na Magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza ikiwa ni utaratibu…
NAIBU WAZIRI MKUU DKT. DOTO BITEKO MGENI RASMI KONGAMANO LA SEKTA YA BAHARI
Na Sophia Kingimali. Naibu waziri mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano kubwa la tatu la kitaaluma lenye…