SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha…
Meneja ununuzi Mbolea kwa pamoja na Mchumi Mwandamizi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) Elizabeth Bole akizungumzia ushiriki wao katika maonesho ya 48…
Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amesema kuanzishwa kwa Masoko ya Madini hapa nchini kumesaidia kuondokana na utoroshaji…
●Zapongeza ukuaji wa Sekta ya Madini Tanzania ●Zafurahishwa na Ushirikishwaji wa vyama vya uchimbaji madini. *Dodoma* Ukuaji na Maendeleo ya Sekta ya Madini Tanzania…
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini Mhandisi Florence Mwakasege akizungumza katika ikao kazi cha kujadili Maendeleo ya Sekta…
Meya wa jiji la Arusha, Maxmillian Iraghe akizungumza katika uzinduzi huo mkoani Arusha Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Consolata Mushi…
Happy Lazaro,Arusha . Arusha.Wadau wa Afya kutoka mkoa wa Arusha na Manyara wamekutana mkoani Arusha kwa lengo la kujadili magonjwa yasiyoambukizwa na matibabu shufaa …
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma, Juni 27, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)…
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI NACHUKIA dawa za kulevya, najutia kupoteza muda wangu, sababu sikuwa na elimu kuhusu madhara ya dawa za kulevya. “Nilianza matumizi ya…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani, Juni 28 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoani Pwani kimeelekeza vikao vya uteuzi vikatende haki,kuteua wagombea wanaokubalika na wenye…