fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI MKOANI MARA WAMPONGEZA RAIS SAMIA
Viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanya kazi Mkoani Mara wamejitokeza hadharan kumshuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa…
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA NISHATI YA UMEME- MHE. KAPINGA
*Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai *Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga…
SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UTALIJ IKOLOJIA KUPITIA MISITU
Na Sophia Kingimali. Katibu Mkuu wizara ya Maliasili na Utalii Dk, Hassan Abasi amesema serikali imejidhatiti kuja na uwekezaji katika utalii wa ikolojia kupitia…
BODI NA MENEJIMENTI YA TUME YA USHINDANI FCC YATEMBELEA KITUO CHA UKAGUZI (OSBP) SIRARI
Na Mwandishi Wetu,Mara Bodi na Menejimenti ya Tume ya Ushindani (FCC) imetembelea Kituo cha ukaguzi wa pamoja (OSBP) kilichopo Sirari Wilayani Tarime Mkoani Mara.…
JERRY SILAA- KUUNDA TIMU YA WATAALAMU WA ARDHI ILI KUFANYA UHAKIKI WA MIPAKA NA HISTORIA YA CHAMAKWEZA,MBALA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Julai 2,2024 WAZIRI wa ardhi, Jerry Silaa amewahakikishia wakazi wa Mbala,Pingo -Chamakweza Chalinze mkoani Pwani kuwa atapeleka timu ya watalaamu…
MBIBO AISHAWISHI BENKI YA STANBIC KUIFIKIRIA SEKTA YA MADINI NCHINI
*STAMICO Yajipambanua maeneo ya ushirikiano *STANBIC Benki Yasema inaitazama Sekta ya Madini Tanzania *Dodoma* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ameishawishi Benki…
KIWANDA CHA MSD IDOFI MAKAMBAKO CHAANZA KUZAA MATUNDA
Kaimu Meneja wa kiwanda cha kuzalisha mpira ya mikono cha MSD kilichopo Idofi, Makambako mkoani Njombe Bw. Shiwa Mushi akitoa maelezo kwa wahariri wa…
MHE. SAGINI ASISITIZA USHIRIKIANO KWA WATUMISHI, NA UTATUZI WA CHANGAMOTO KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ameipongeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuendelea kushirikiana na Wizara ya Katiba na…