OCD LUSHOTO AONYA VIONGOZI,VIJANA KUACHA KUJIHUSISHA NA UHALIFU
Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Lushoto,OCD Omary Mshangama, amewaonya vijana wanaojihusisha na vikundi vya uhalifu katika Kata ya Magamba mkoani Tanga kuacha…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Lushoto,OCD Omary Mshangama, amewaonya vijana wanaojihusisha na vikundi vya uhalifu katika Kata ya Magamba mkoani Tanga kuacha…
Na Mwandishi wetu, Tabora Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Julai 8, 2024 PROGRAMU ya Shule Bora nchini, imetoa msaada wa vifaa vya kujifunzia, vilivyogharimu sh. mil 40 kwa wanafunzi…
Makamu wa Pili wa Rais, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amemwakilisha Rais wa SMZ, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika…
Tume ya Ushindani (FCC), imeendelea kutumia fursa ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kwa kutoa elimu kwa Umma ambao ndio walaji…
Muonekano wa daraja la Berega lenye urefu wa mita 140, upana mita 11 katika barabara ya Berega – Dumbalume linalounganisha Wilaya ya Kilosa, Kiteto,…
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Julai 8, 2024…
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi amekunatana na kamishina wa Uhamiaji nchini Dkt Anna Makakala ambaye yuko ziara katika Mkoa wa mara…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba (kushoto), akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha Bi. Jenifa Christian Omolo …
Na Sophia Kingimali. Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Ajira Vijana na Wenye ulemavu Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya usalama na Afya mahali pa…